Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2015

Hivi ndivyo Unavyoweza Kujijengea Ujasiri na Kufanya Mambo Makubwa Zaidi Y a Unavyoweza Kufikiri

Hivi ndivyo Unavyoweza Kujijengea Ujasiri na Kufanya Mambo Makubwa Zaidi Y a Unavyoweza Kufikiri Nina imani umeshawahi kusikia au kusoma historia za watu tofauti tofauti na mara nyingine ukawaza kuwa watu hao walikua jasiri sana. Kuna watu mbalimbali waliowahi kuendesha nchi, kufanya vitu vya utofauti ambavyo kwa hali ya kawaida sio kila mtu anaweza kufanya, watu waliochukua maamuzi magumu ambayo sio rahisi kufikiria kwanini waliamua kuchukua maamuzi magumu kiasi hicho. Inawezekana wakati wanafanya maamuzi hayo hata watu wa karibu yao yaani ndugu na marafiki hawakuungana nao kwakua maamuzi hayo yalikuwa ni magumu mno, hivyo waliwakataza kufanya maamuzi hayo. Ukiwasoma au kuwasikia watu hawa unakubali kuwa watu hawa walikuwa na ujasiri mno. Inawezekana pia kwenye familia yako kuna mtu jasiri wa namna hii katika eneo fulani la maisha,je na wewe pia ungetamani kuwa  jasiri? Endelea kusoma makala hii mpaka mwisho na ufanyie kazi yale unayoyasoma kwa umakini ili uweze kuwa na ujasi...